Poromoko la theluji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Lawine.jpg|thumbnail|right|200px|Banguko la theluji milimani]]
 
'''Banguko''' (pia '''poromoko la theluji''', '''poromoko la udongo''', ing. ''avalanche''<ref>Banguko si Kiswahili cha kawaida, ni msamiati wa [[KAST]]</ref>) ni kiasi kikubwa cha [[theluji]] au [[barafu]], pia cha [[Miporomoko ya ardhi|mawe au ardhi]], kinachoanza kusogea kwenye mtelemko wa mlimani na kuteleza au kuanguka kwa kuelekea bondeni.
 
Mwendo wa masi kubwa inaweza kusukuma miamba, miti na chochote kilichopo njiani kwenye mtelemko wa mlima na kuongeza banguko.