Poromoko la theluji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 9:
Katika [[Alpi]] za Ulaya takriban watu 100 hufariki kila mwaka kutokana na maporomoko ya theluji.
 
Kwenye [[Andes]] za [[Peru]] watu 4,000 waliuawa na poromoko kubwa la theluji tar. [[11 Januari]] [[1962]]. Poromoko la theluji lilitelemka mlima [[Huascaran]] na kufunika mji wa Yungay; mengine yalianguka katika mto na kusababisha mafuriko.
 
* Tazama pia: [[Miporomoko ya ardhi]]