Gabriel Ruhumbika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Gabriel Ruhumbika (alizaliwa 1938) Ni Mwandishi mtanzania ,Ambaye huandika hadithi fupi fupi, mtafsiri na mtaaluma. Riwaya yake ya kwanza, inaitwa Village in Uhuru,na kilichapishwa katika mwaka 1969. Aliandika riwaya mbalimbali kwa mfatano kwa kutumia lugha ya kiswahili. Pia alifundisha fasihi katika vyuo vikuu mbalimbali, na kwasasa n muadhiri katika chuo kikuu cha maandishi ya kulinganisha(uandihi wa kulinganisha) cha Georgia nchini MAREKANI[[Marekani]] <ref>http://www.cmlt.uga.edu/people/faculty/gabriel-ruhumbika</ref>
 
==Machapisho yake==