YHWH : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 57:
Hii ilileta jina YHWH kuandikwa kwa vokali za אֲדֹנָי '<sub>a</sub>d<sub>o</sub>n<sub>a</sub>y, tokeo lake lilikuwa Y<sub>a</sub>h<sub>o</sub>w<sub>a</sub>h.
 
Wakati wasomi Wakristo katika [[karne za kati]] walianza kufanya utafiti katika lugha asilia za Biblia, wengine walichukua umbo la Y<sub>a</sub>H<sub>o</sub>W<sub>a</sub>H kama jina halisi wakafundisha hivyo. Kwa njia hii "Jehovah" au "Yehovah" imepata mahali pake katika tafsiri akdhaakadhaa, hasa toleo la Kiingereza la [[:en:King James Bible|King James Bible]] iliyoendelea kuwa msingi kwa tafsiri kwa lugha mbalimbali.
 
== Viungo vya nje ==