YHWH : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
Jina hilo halipatikani kabisa katika [[vitabu]] vya [[Wimbo Ulio Bora]], [[Kitabu cha Mhubiri]] na [[Kitabu cha Esta]].
 
[[Wayahudi]] walizidi kuliheshimu jina hilo hata wakaacha kulitamka wakati wa kulikuta katika [[Biblia ya Kiebrania|Maandiko Matakatifu]]; badala yake wanasomawalitumia neno mbadala, mara nyingi אֲדֹנָי, Adonai, yaani '''[[Bwana]]'''.
 
Labda kwa sababu hiyo watafsiri wa kwanza wa [[Biblia]] kwenda [[lugha]] ya [[Kigiriki]] ([[LXX]]) walilitafsiri Κύριος, Kyurios, yaani '''Bwana'''.
Mstari 52:
Hata hivyo, leo [[wataalamu]] wengi wanakubaliana kulitamka Yahweh.
 
==YehovaJehovah==
Tafsiri kadhaa za Biblia wanaandika jina la YHWH kuwa "Jehovah" au "Yehovah". Asili yake ni kosa la kusoma Biblia ya Kiebrania. Kiasili waandishi wa Kiebrania hawakutumia alama za [[vokali]] na muswada ya kale hazionyeshi vokali. Mnamo karne ya 2 BK, wakati Wayahudi wengi hawakutumia tena Kiebrania kama lugha ya mama, nakala za Biblia zilianza kupewa alama za vokali katika matini. Pale ambako jina YHWH '''יהוה ''' ilitokea, waandishi waliongeza vokali za neno mbadala kwa kukumbuka msomaji asome hilo; maneno mbadala yalikuwa mara nyingi '''אדני ''' (pamoja na vokali zake ''' אֲדֹנָי ''' ''adonay'' - Bwana) au pia '''שםא''' (pamoja na vokali zake ''' שְׁמָא ''' ''shemah'' - Jina).
 
Mstari 58:
 
Wakati wasomi Wakristo katika [[karne za kati]] walianza kufanya utafiti katika lugha asilia za Biblia, wengine walichukua umbo la Y<sub>a</sub>H<sub>o</sub>W<sub>a</sub>H kama jina halisi wakafundisha hivyo. Kwa njia hii "Jehovah" au "Yehovah" imepata mahali pake katika tafsiri kadhaa, hasa toleo la Kiingereza la [[:en:King James Bible|King James Bible]] iliyoendelea kuwa msingi kwa tafsiri kwa lugha mbalimbali.
 
Dhehebu dogo la Mashahidi wa Yehova linafundisha "Jehovah / Yehova" kuwa jina sahihi la Mungu katika Biblia na kwao ni lazima kulitumia.<ref>https://www.jw.org/en/jehovahs-witnesses/faq/name-jehovahs-witnesses/#?insight[search_id]=82505676-b6d5-4297-a84f-34dd3d486b77&insight[search_result_index]=0 Kwa Nini Mnaitwa Mashahidi wa Yehova?, tovuti ya wenyewe, iliangaliwa Desemba 2019</ref>
 
==Marejeo==
<references/>
 
== Viungo vya nje ==