Gabriel Ruhumbika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
*''Miradi Bubu ya Wazalendo'', 1991
*''Janga Sugu la Wazawa'', 2002
 
==Taaluma==
Riwaya ya kwanza ya Ruhumbika,"[[Village in Uhuru]]", ilichapishwa mnamo mwaka 1969; Hii ilikuwa riwaya ya pili ya lugha ya kiiingereza katika nchi ya Tanzania, Baada ya [[Peter Palangyo]]'s "[[Dying in the sun]]" (1968).).<ref name=Gerard/> Hii ni riwaya ya historia ,ambayo iliegemea zaidi upande wa matukio halisi yanayoendana na maswali ya maadili na utambulisho wa taifa katika kulingana na [[Tanganyika African National Union]]'s katika kupambania uhuru wa [[Tanganyika]] (sasa Tanzania)). <ref name=Geref name=SEAL/>
ard/><ref name=Killam/> Ingawa "Village in Uhuru" Aliandika na alichapisha kwa mara ya kwanza kwa kiingereza,Ruhumbika aliamua kuandika riwaya zake zote zilifuata kwa kiswahili, maamuzi ambayo yalikuwa sawa na mwandishi kutoka kenya [[Ngũgĩ wa Thiong'o]].<r
Riwaya zake ziliandikwa kwa lugha za kiswahili,ambazo zilibeba hasa jarida[[Pan-African]] [[Uhuru Movement]], Jumuisha "Miradi Bubu ya Wazalendo"'' (''Invisible Enterprises of the Patriots'', 1991) na " Janga Sugu la Wazawa"'' (''Everlasting Doom for the Children of the Land'', 2002).<ref name=SEAL/> Pia aliandika kusanyiko la hadithi fupi, "Uwike Usiwike Kutakuche"(''Whether the Cock Crows or Not It Dawns''). Mbali ya kuwa mwandishi pia alikuwa mtafsiri, hasa maneno kutoka lugha ya kifaransa kwenda lugha ya kiswahili, Ingawa alitafsiri pia riwaya katika [[Aniceti Kitereza]]'s "Mnyombekere na mkewe Bugonoka, na kijana wao wa kiume Ntulanalwo, na binti yao Bulihwali" from [[kikerewe lugha|kikerewe]] kwenda kiingereza..<ref name=CGEAL/>
 
 
==Marejeo==