YHWH : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 25:
 
==Herufi zenyewe==
[[Image:BASILICA OF ST LOUIS KING OF FRANCE MISSOURI USA Near the Gateway Arch TETRAGRAMMATON.jpg|thumb|200px|[[Ukuta]] wa mbele wa [[Basilika la Mt. Louis]], lililojengwa mwaka [[1834]] huko [[St. Louis, Missouri]], una jina hilo upande wa juu.]]
Herufi hizo nne, zikisomwa kutoka kulia kwenda kushoto ni:
:{| class="wikitable"
|-
Line 53 ⟶ 54:
 
==Jehovah==
TafsiriWatafsiri kadhaa zawa Biblia wanaandika jina la YHWH kuwa "Jehovah" au "Yehovah". Asili yake ni kosa la kusoma Biblia ya Kiebrania. Kiasili waandishi wa Kiebrania hawakutumia alama za [[vokali]] na muswadamiswada ya kale hazionyeshihaionyeshi vokali. Mnamo [[karne ya 2]] [[BK]], wakati Wayahudi wengi hawakutumia tena Kiebrania kama [[lugha ya mama]], nakala za Biblia zilianza kupewa alama za vokali katika matini. Pale ambakoambapo jina YHWH '''יהוה ''' ilitokea, waandishi waliongeza vokali za neno mbadala kwa kukumbukakukumbusha msomaji asomeasisome hilo; maneno mbadala yalikuwa mara nyingi '''אדני ''' (pamoja na vokali zake ''' אֲדֹנָי ''' ''adonay'' - Bwana) au pia '''שםא''' (pamoja na vokali zake ''' שְׁמָא ''' ''shemah'' - Jina).
 
Hii ilileta jina YHWH kuandikwa kwa vokali za אֲדֹנָי '<sub>a</sub>d<sub>o</sub>n<sub>a</sub>y, tokeo lake lilikuwa Y<sub>a</sub>h<sub>o</sub>w<sub>a</sub>h.
 
Wakati wasomi Wakristo katika [[karne za kati]] walianza kufanya utafiti katika lugha asilia za Biblia, wengine walichukua umbo la Y<sub>a</sub>H<sub>o</sub>W<sub>a</sub>H kama jina halisi wakafundisha hivyo. Kwa njia hii "Jehovah" au "Yehovah" imepata mahali pake katika tafsiri kadhaa, hasa toleo la [[Kiingereza]] la [[:en:King James Bible|King James Bible]] iliyoendelealililoendelea kuwa msingi kwawa tafsiri kwa lugha mbalimbali.
 
Dhehebu dogo la [[Mashahidi wa Yehova]] linafundisha "Jehovah / Yehova" kuwa jina sahihi la Mungu katika Biblia na kwao ni lazima kulitumia.<ref>https://www.jw.org/en/jehovahs-witnesses/faq/name-jehovahs-witnesses/#?insight[search_id]=82505676-b6d5-4297-a84f-34dd3d486b77&insight[search_result_index]=0 Kwa Nini Mnaitwa Mashahidi wa Yehova?, tovuti ya wenyewe, iliangaliwa Desemba 2019</ref>
 
==Marejeo==
Line 66 ⟶ 67:
== Viungo vya nje ==
* [https://sw.godfootsteps.org/the-work-in-the-age-of-law-classic-words.html YHWH]
{{mbegu-Biblia}}
 
[[Category:Mungu]]
[[Category:Biblia]]