Issa Michuzi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Muhidin Issa Michuzi''' (amezaliwa) ni [[mwandishi wa habari]] wa [[Tanzania]]
▲'''Muhidin Issa Michuzi''' (amezaliwa) ni mwandishi wa habari wa Tanzania anaejulikana kupitia blogu yake iitwayo Michuzi blog. <ref>https://www.voaswahili.com/a/2955423.html iliangaliwa 21 Disemba 2019</ref>
== Maisha yake na kazi ==
Michuzi tangu zamani alikuwa akipendelea kazi ya upigaji picha. Mnamo mwaka 1980 alijiunga na vipindi vya jioni katika taasisi iitwayo [[Goethe-Institut]] [[Dar es Salaam
Baada ya hapo aliajiriwa kwa mkataba wa muda mfupi kama [[Stringer (journalism)|stringer]] kwa muda wa miaka mitatu kabla ya kuajiriwa kwa mkataba wa muda mrefu Januari mwaka 1990.<ref name="sporah">{{cite web|url=http://sporahmagazine.blogspot.co.uk/2011/05/exclusive-interview-with-tanzanias-most.html|title=EXCLUSIVE INTERVIEW WITH TANZANIA'S MOST POPULAR BLOGGER ISSA MICHUZI!|last1=|first1=|last2=|first2=|date=May 2011|website=sporahmagazine.blogspot.co.uk|publisher=|accessdate=13 May 2013}}</ref> Mwaka 1992 alijiunga na [[Internationales Institut für Journalismus|chuo cha uandishi wa habari cha Ujerumani]] mjini [[Berlin]]
Line 9 ⟶ 10:
== Kazi yake ya uandishi ==
Mnamo Septemba 2005, Michuzi aliungana na [[Jakaya Kikwete]] ambaye kwa wakati huo
== Maisha binafsi ==
Michuzi
Ni mpenzi wa muziki wa Tanzania [[bongo flava]] ni shabiki wa [[timu]] ya [[Liverpool F.C.]].
{{Reflist}}▼
==
▲{{Reflist}}
== Viungo vya nje ==
* {{facebook|issamichuzi}}
{{mbegu-mtu}}
{{DEFAULTSORT:Michuzi, Issa}}
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:
[[Jamii:
|