YHWH : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Jina hilo halipatikani kabisa katika [[vitabu]] vya [[Wimbo Ulio Bora]], [[Kitabu cha Mhubiri]] na [[Kitabu cha Esta]].
 
==Matumizi katika Uyahudi==
[[Wayahudi]] walizidi kuliheshimu jina hilo hata wakaacha kulitamka wakati wa kulikuta katika [[Biblia ya Kiebrania|Maandiko Matakatifu]]; badala yake walitumia neno mbadala, mara nyingi אֲדֹנָי, Adonai, yaani '''[[Bwana]]'''.