Kampaundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Kampaundi''' (pia: '''msombo''') ni [[dutu]] iliyoundwa kwa kuungana kwa [[elementi]] [[mbili]] au zaidi za [[Kemia|kikemia]] katika hali thabiti kati ya [[masi]] au [[atomi]] zaozake. Atomi zaozake zashikwa kwa [[muungo kemia]] kuwa [[molekuli]] za dutu hiyo.
 
== Tofauti ya kampaundi na mchanganyiko wa elementi ==
Kampaundi ni tofauti na mchanganyiko wa elementi. Kwa mfano mchanganyiko wa atomi mbili za [[hidrojeni]] na atomi moja ya [[oksijeni]] ni [[gesi]] ya [[oksihidrojeni]] inayowaka rahisi kwa njia ya [[mlipuko]]. Mchanganyiko huu si thabiti. Lakini kama atomi zilezile zaingia katika [[muungo kemia]] zaunda dutu mpya ya H<sub>2</sub>O auyaani [[maji]].
 
Kampaundi hupatikana kwa [[hali maada]] mbalimbali kama vile [[gesi]], [[mango]] au [[kiowevu]].
 
 
{{mbegu-kemia}}