Shaba nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created by translating the page "Brass" |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Shaba nyeupe''' ni [[aloi]] ya [[shaba]] na [[zinki]] .
Kiwango cha zinki kinaweza kufikia hadi % 40 lakini hii inaweza kubadilishwa kwa kupata tabia zinazotakiwa.
Rangi ya stani inategemea kiwango cha zinki. Hadi asilimia 20% rangi ya stani ni kahawia hadi kahawia-nyekundu. Aina hii inaweza kuchanganywa na [[Bronzi|bronzi (shaba nyeusi)]]. Juu ya asilimia 36 huwa njano-nyeupe na kufanana na [[dhahabu]].
Tabia za kimetali zinategemea viwango vya stani pamoja na plumbi na nikeli ambazo zinaungwa pia. Nikeli inaboresha kinga dhidi [[ulikaji]].
== Matumizi ==
Zamani ilikuwa ngumu kiasi kutengeneza shaba nyeupe kwa sababu stani safi haikupatikana kirahisi kwa hiyo kazi ilikuwa ngumu na ghali kiasi. Kwa hiyo katika karne zilizopita ilitumiwa zaidi kwa mapambo na vyombo vilivyotakiwa kuonekana vema bila kuwa gharama za dhahabu halisi.
Mstari 13:
Siku hizi kuna matumizi mengi katika teknolojia ya kisasa. Ni kipitishi umeme kizuri lakini imara zaidi kuliko shaba tupu. Antena na nyaya za shaba nyeupe zinatumiwa katika vifaa vingi. Shaba nyeupe yenye kiwango cha juu cha stani pamoja asilimia 1-2 za [[alumini]] hufaa kwa [[beringi]].
Ilhali ni nyepesi ya kufulika na hailiki haraka inapendwa kwa kutengeneza [[ala za musiki]] kama [[tarumpeta]], [[tromboni]] , [[gunda]] au [[saksofoni]] ambako husifiwa namna ya sauti inayotokea.
[[Ramia]] za bunduki hutengenezwa pia kwa shaba nyeupe.
Katika [[Afrika ya Magharibi]], mafundi na wasanii wa [[Ufalme wa Benin]] walitumia [[bronzi]] kwa vinyago na sanamu zao na mara kadhaa walichezea aloi hadi kufikia pia shaba nyeupe.
==Viungo ya Nje==
*[http://www.brass.org Brass.org]
*[http://www.elektrolux.mk/brass.html Brass]
[[jamii:Aloi]]
|