Tofauti kati ya marekesbisho "Tabakamwamba"

54 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
Tafsir
(Tafsir)
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
[[Picha::Earth-cutaway-schematic-numbered.svg.png|thumb|350px| Muundo wa [[Dunia]]: 1: Ganda la Dunia (kibahari /1a/ na kibara /1b/ crustunene km 0 tohadi 80 km); 2: Koti ya Dunia (koti ya juu pamoja na tabaka kasi, including asthenosphere, and lower mantle); 3: CoreKiini cha Dunia; 3a: OuterKiini corecha nje (liquidkiowevu); 3b: InnerKiini corecha ndani (solidthabiti); 4: LithosphereTabakamwamba (Crustganda andpamoja uppermostna solidsehemu mantleya juu ya koti); 5: Asthenosphere]]
[[Picha:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|right|thumb|350px|Mabamba gandunia]]
'''Tabakamwamba''' (ing. ''lithosphere'')<ref>IPA: lith'usfēr,kutoka maneno ya [[Kigiriki]] λίθος ''líthos'' (jiwe, mwamba) na σφαίρα ''sfaira'' (tufe, tabaka)</ref> ni sehemu thabiti ya nje ya [[sayari]] ya Dunia. Hiyo inamaanisha [[ganda la Dunia]], pamoja na chini yake sehemu ya juu ya "koti ya dunia". Tabakamwamba inakaa juu ya sehemu moto na laini ya ndani zaidi ya koti ya Dunia.
Tabakamwamba inafanywa na miamba imara, tofauti na sehemu za ndani zaidi ya Dunia ambako mwamba na madini yote vinapatikana kwa hali nyumbufu au giligili kutokana na joto kali na shinikizo kubwa.
 
Eneo la tabakamwamba linagawiwa kwa vipande vikubwa ambavyo vinaelea juu ya sehemu moto za ndani. Vipande hivi ni mabamba ya ganda la Dunia au kwa kifupi [[mabamba gandunia]].
 
== Aina za tabakamwamba ==
Anonymous user