Tabakamwamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Earth-cutaway-schematic-numbered.svg|thumb|350px| Muundo wa [[Dunia]]: 1: Ganda la Dunia (kibahari 1a na kibara 1b unene km 0 hadi 80); 2: Koti yala Dunia ; 3: Kiini cha Dunia; 3a: Kiini cha nje (kiowevu); 3b: Kiini cha ndani (thabiti); 4: Tabakamwamba (ganda pamoja na sehemu ya juu ya koti); 5: Asthenosphere.]]
[[Picha:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|right|thumb|350px|Mabamba gandunia.]]
'''Tabakamwamba''' (ing.kwa [[Kiingereza]] ''lithosphere'')<ref>IPA: lith'usfēr, kutoka maneno ya [[Kigiriki]] λίθος ''líthos'' (jiwe, mwamba) na σφαίρα ''sfaira'' (tufe, tabaka)</ref> ni sehemu thabiti ya nje ya [[sayari]] ya [[Dunia]]. Hiyo inamaanisha [[ganda la Dunia]], pamoja na chini yake sehemu ya juu ya "koti yala dunia". Tabakamwamba inakaalinakaa juu ya sehemu [[moto]] na laini ya ndani zaidi ya koti yala Dunia.
 
Kwenye mpaka kati ya tabakamwamba na koti yenyewelenyewe ikoliko tabaka kasiduni (ing. ''asthenosphere'') ambayo ni nyumbufu kiasi.
[[Picha:Earth-cutaway-schematic-numbered.svg|thumb|350px| Muundo wa [[Dunia]]: 1: Ganda la Dunia (kibahari 1a na kibara 1b unene km 0 hadi 80); 2: Koti ya Dunia ; 3: Kiini cha Dunia; 3a: Kiini cha nje (kiowevu); 3b: Kiini cha ndani (thabiti); 4: Tabakamwamba (ganda pamoja na sehemu ya juu ya koti); 5: Asthenosphere]]
[[Picha:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|right|thumb|350px|Mabamba gandunia]]
'''Tabakamwamba''' (ing. ''lithosphere'')<ref>IPA: lith'usfēr,kutoka maneno ya [[Kigiriki]] λίθος ''líthos'' (jiwe, mwamba) na σφαίρα ''sfaira'' (tufe, tabaka)</ref> ni sehemu thabiti ya nje ya [[sayari]] ya Dunia. Hiyo inamaanisha [[ganda la Dunia]], pamoja na chini yake sehemu ya juu ya "koti ya dunia". Tabakamwamba inakaa juu ya sehemu moto na laini ya ndani zaidi ya koti ya Dunia.
 
Tabakamwamba inafanywalinafanywa na [[miamba]] imara, tofauti na sehemu za ndani zaidi ya Dunia ambako mwamba na [[madini]] yote vinapatikana kwa hali nyumbufu au [[giligili]] kutokana na [[joto]] kali na [[shinikizo]] kubwa.
Kwenye mpaka kati ya tabakamwamba na koti yenyewe iko tabaka kasiduni (ing. asthenosphere) ambayo ni nyumbufu kiasi.
 
Eneo la tabakamwamba linagawiwa kwa vipande vikubwa ambavyo vinaelea juu ya sehemu moto za ndani. Vipande hivihivyo ni [[Bamba la gandunia|mabamba]] ya [[ganda la Dunia]] au kwa kifupi [[mabamba gandunia]].
Tabakamwamba inafanywa na miamba imara, tofauti na sehemu za ndani zaidi ya Dunia ambako mwamba na madini yote vinapatikana kwa hali nyumbufu au giligili kutokana na joto kali na shinikizo kubwa.
 
Eneo la tabakamwamba linagawiwa kwa vipande vikubwa ambavyo vinaelea juu ya sehemu moto za ndani. Vipande hivi ni mabamba ya ganda la Dunia au kwa kifupi [[mabamba gandunia]].
 
== Aina za tabakamwamba ==
Kuna aina mbili za tabakamwamba:
 
# Tabakamwamba chini ya [[bahari]]; mabamba gandunia huachana katika vilindi vya bahari na hapahapo [[magma|magma joto]] inapanda juu na kujenga hivyo miamba mipya ikipoa na kuganda. Hivyo ganda la Dunia chini ya bahari ina [[umri]] mdogo zaidi na [[unene]] mdogo wa [[kilomita]] 50-100.
# Tabakamwamba yala [[bara]]. Hapa tunakuta miamba ya kale zaidi na unene wake ni km 100 hadi 200.
 
==Mzunguko wa tabakamwamba==
Sehemu kubwa za tabakamwamba ziko katika mwendo wa kutokea na kupotea tena. Kenye vilindi vya bahari ambako mabamba gandunia yanaachana, magma inapanda na kuunda miamba mapyamipya. Mchakato endelevu unasukuma mabamba jirani mbali kutoka mistari hii. Kwa upande mwingine kuna sehemu ambako mabamba yanasukumana na hapa bamba moja husukumwa chini ya bamba jingine na kwa namna hiihiyo kuunda [[mifereji]] ya bahari. KadriKadiri miamba inazamainavyozama chini na kuingia katika vilindi enyevyenye joto kubwa inayeyushwa tena na kujiunga na magma ya koti yala Dunia.
 
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
 
===Marejeo Vyanzomengine vingine ===
 
* [http://www.windows.ucar.edu/cgi-bin/tour_def/earth/interior/earths_crust.html Ukoko wa ardhi, litholojia na anga]
* [http://www.geolsoc.org.uk/template.cfm?name=lithosphere Ukoko na Lithosphere]
* Barrell J. 1914a, b & c. Nguvu ya ukoko wa Dunia. Jarida la Jiolojia. '''22''', 425-433; 441-468; 655-683.
* Daly, R. 1940 Nguvu na muundo wa Dunia. New York: Jumba la Prentice.
* Chernicoff, Stanley na Whitney, Donna. 2007. ''Jiolojia. utangulizi wa jiolojia ya mwili'', 4th, Pearson 2007
 
== OtherViungo websitesvya nje ==
* [http://www.windows.ucar.edu/cgi-bin/tour_def/earth/interior/earths_crust.html Ukoko wa ardhi, litholojia na anga]
 
* [http://www.geolsoc.org.uk/template.cfm?name=lithosphere Ukoko na Lithosphere]
* [http://sd71.bc.ca/sd71/school/courtmid/Library/subject_resources/science/chapter_7_composition.htm Links for Middle School students on the Earth's composition]
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Jiolojia]]