Tofauti kati ya marekesbisho "Tabakamwamba"

871 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[Picha:Earth-cutaway-schematic-numbered.svg|thumb|350px|Muundo wa [[Dunia]]: 1: Ganda la Dunia (kibahari 1a na kibara 1b unene km 0 hadi 80); 2: Koti la Dunia; 3: Kiini cha Dunia; 3a: Kiini cha nje (kiowevu); 3b: Kiini cha ndani (thabiti); 4: Tabakamwamba (ganda pamoja na sehemu ya juu ya koti); 5: Asthenosphere.]]
[[Picha:Upanuzi msingi bahari.PNG|thumb|350px|<small>Ganda la dunia linaloitwa pia [[tabakamwamba]] huonyeshwa kwenye picha kama mlia wa kijivu wa nje. Linakaa juu ya [[koti ya dunia]] au tabakalaini ambayo ni [[magma]] au mwamba moto katika hali ya kiowevu kama uji. Ndani ya koti kuna mizunguko ya mikondo ya mwamba moto kama ndani ya sufuria inayochemka. Katikati ya picha upande wa juu mkondo wa moto unasukuma dhidi ya ganda la nje. Unakata ganda na kusababisha kutokea kwa mabamba mawili yanayoachana polepole. Yanapoachana mgongo hukitokeza ambayo ni kama safu ya milima ya volkeno. Hapa magma kutoka koti hupanda juu na kupoa kuwa mwamba mpya.
 
Mabamba mawili ya katikati yanayosukumwa na kupaa kwa magma hujisukuma chini ya mabamba jirani. Hapa kando ya bamba huelekea chini kungia katika tabakalaini ambako mwamba wake unayeyuka na kuwa magma tena.
</small>]]
[[Picha:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|right|thumb|350px|Mabamba gandunia.]]
'''Tabakamwamba''' (kwa [[Kiingereza]] ''lithosphere'')<ref>IPA: lith'usfēr, kutoka maneno ya [[Kigiriki]] λίθος ''líthos'' (jiwe, mwamba) na σφαίρα ''sfaira'' (tufe, tabaka)</ref> ni sehemu thabiti ya nje ya [[sayari]] ya [[Dunia]]. Hiyo inamaanisha [[ganda la Dunia]], pamoja na chini yake sehemu ya juu ya "koti la dunia". Tabakamwamba linakaa juu ya sehemu [[moto]] na laini ya ndani zaidi ya koti la Dunia.