Tofauti kati ya marekesbisho "Tabakamwamba"

11 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
[[Picha:Earth-cutaway-schematic-numbered.svg|thumb|350px|Muundo wa [[Dunia]]: 1: Ganda la Dunia (kibahari 1a na kibara 1b unene km 0 hadi 80); 2: Koti la Dunia; 3: Kiini cha Dunia; 3a: Kiini cha nje (kiowevu); 3b: Kiini cha ndani (thabiti); 4: Tabakamwamba (ganda pamoja na sehemu ya juu ya koti); 5: Asthenosphere.]]
[[Picha:Upanuzi msingi bahari.PNG|thumb|350px|<small>Ganda la dunia, linaloitwa pia [[tabakamwamba]], huonyeshwa kwenye picha kama mlia wa kijivu wa nje. Linakaa juu ya [[koti yala dunia]] au tabakalaini ambayoambalo ni [[magma]] au mwamba moto katika hali ya kiowevu kama [[uji]]. Ndani ya koti kunamna mizunguko ya mikondo ya mwamba moto kama ndani ya [[sufuria]] ambamo maji inayochemkayanachemka. Katikati ya picha upande wa juu mkondo wa moto unasukuma dhidi ya ganda la nje. Unakata ganda na kusababisha kutokea kwa mabamba mawili yanayoachana polepole. Yanapoachana mgongo hukitokezahujitokeza ambayo ni kama safu ya milima ya volkeno. Hapa magma kutoka koti hupanda juu na kupoa kuwa mwamba mpya.
 
Mabamba mawili ya katikati yanayosukumwa na kupaa kwa magma hujisukuma chini ya mabamba jirani. Hapa kando ya bamba huelekea chini kungia katika tabakalaini ambako mwamba wake unayeyuka na kuwa magma tena.