Kutoweka kwa Azory Gwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 7:
 
== Kazi ==
Wakati akifanya kazi katika Kampuni ya Mawasiliano ya Mwananchi kama mwandishi wa habari, Gwanda aliandika mfululizo wa habari za mauaji ya maafisa wa serikali za mitaa na maafisa wa polisi na washambuliaji wasiojulikana.<ref>{{Cite web|title=Tanzania: Concern grows for missing journalist Azory Gwanda|url=https://www.article19.org/resources/tanzania-concern-grows-missing-journalist-azory-gwanda/|work=ARTICLE 19|accessdate=2019-12-26|language=en-US}}</ref> Gwanda alikuwa mwanahabari wa kwanza kuandika habari hizi. Aliliandikia gazeti la Mwananchi machapisho yake Mwananchi na gazeti la The Citizen.<ref>{{Cite web|title=Azory Gwanda|url=https://cpj.org/data/people/azory-gwanda/index.php|work=cpj.org|accessdate=2019-12-26|language=en}}</ref> Alifanya kazi kutoka Kituo cha Kibiti, ambapo mara ya mwisho alionekana na watu wasiojulikana.<ref>{{Cite web|title=Tanzania: Concern grows for missing journalist Azory Gwanda|url=https://www.article19.org/resources/tanzania-concern-grows-missing-journalist-azory-gwanda/|work=ARTICLE 19|accessdate=2019-12-26|language=en-US}}</ref>
 
== Kutoweka ==