Tofauti kati ya marekesbisho "Mwamba (jiolojia)"

17 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[File:DirkvdM rocks.jpg|thumb|Miamba.]]
[[Picha:Logan Rock from below.jpg|thumb|Graniti[[Itale]] ni mwamba wa kivolkeno.mgando]]
'''Mwamba''' katika [[jiolojia]] ni namna ya kutaja [[mawe]] au zaidi mchanganyiko au mkusanyiko wa mabao ya aina moja au zaidi ya [[madini]] ulio imara katika hali asilia. Jiwe ni kipande cha mwamba.
 
== Aina za miamba ==
Mwamba hutokea kwa namna tatu:
* [[mwamba wa mgando]] au [[(mwamba wa kivolkeno]], "ingneous rock") unajitokeza pala ambako [[magma]] au [[lava]] inaganda, kwa mfano [[itale]] au .
* [[mwamba mashapo]] hutokea pale ambako miamba inavunjika na kusagwa katika [[mmomonyoko]] na mashapo yanakandamizwa kwa njia ya kanieneo ya mashapo ya juu hadi mashapo kuwa mwamba mapya.
** aina ya pekee ni [[visukuku]] ambayvo ni mashapo yaliyosababishwa na wanyama au mimea itakayokuwa mwamba mashapo baadaye. Mfano: [[makaa mawe]].