Mwamba wa mgando : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Volcano q.jpg|250px|thumb|Lava inayotoka nje ya volkeno inapoa na kuganda kuwa mwamba wa mgando]]
[[Picha:Tufo Necropoli della Banditaccia.JPG|250px|thumb|Tufo ni mwamba laini ya mgando nje]]
'''Mwamba wa mgando (''' ing.(kwa [[Kiingereza]]: ''igneous rock'') ni moja ya aina tatu kuu za [[miamba]], pamoja na [[mwamba mashapo]] na [[mwamba metamofia]] .
 
Miamba ya mgando huundwa kutokana kwa kupoa kwa [[magma]] au [[lava]], yaani [[mwamba]] [[moto]] katika hali ya [[kiowevu]] jinsi inavyopatikana katika [[koti yala Dunia]].
 
Miamba hii hutokea kwa namna mbili tofauti zinazosababisha pia tabia tofauti ya miamba yenyewe:
*'''miamba ya mgando nje''' (miamba ya kivolkeno, miamba ya lava, ing. ''extrusive igneous rock'') hutokea nje ya [[ganda la Dunia]], wakati magma inapanda juu na kutoka kwenye uso wa Dunia kama [[Lava (volkeno)|lava]]. Inatoka pia kwenye [[tako la bahari]] pale ambako [[mabamba ya gandunia]] yanaachana ambako lava hupoa katika maji ya bahari. Lava inayotoka hupoa haraka na kuunda miamba ya mgando nje kama vile [[gumawesi]].
 
:Miamba hii huwa na [[fuwele]] ndogo tu, mingine hutokea hata bila fuwele kabisa, kama [[kioo]] cha kivolkeno. Kama lava ina [[gesi]] nyingi ndani yake, hiyo gesi inakimbia [[Hewa|hewani]] na kuacha nafasi kama [[Shimo|mashimo]] ya pofu[[Povu|povu]] katika mwamba unaopoa. Kama lava inarushwa hewani kwa nguvu kubwa hutokea pia vipande vidogo sana kama [[majivu]] pamoja na vipande vya mwamba wa awali ulivunkwaulivunjikwa na mlipuko, na yale yote huanguka na kuunda aina ya mwamba ulio laini unaoitwa [[tufo]].
 
*'''miamba ya mgando ndani''' (miamba ya magma, miamba ya vilindi, ing. ''intrusive igneous rock'') hutokea ndani ya ganda la Dunia, chini ya uso wa ardhi. Magma inaingia katika nafasi kati ya matabaka ya miamba iliyopo, na pale hupoa polepole. Mchakato wa kupoa polepole unaruhusu fuwele kukua ndani ya mwamba unaopoa. [[Itale]] ni mojawapo ya miamba ya mgando ndani.
 
==Viungo vya Nje==
{{commons category|Igneous rocks|position=left}}
{{Wikibooks |Historical Geology|Igneous rocks and stratigraphy}}
{{Wikibooks |Historical Geology|Igneous rocks}}
Line 20 ⟶ 21:
* [https://web.archive.org/web/20120113152818/http://geology.cnsm.ad.csulb.edu/people/bperry/IgneousRocksTour/IntroToIgneousRocks.html Igneous Rocks Tour, an introduction to Igneous Rocks]
* [http://www.utdallas.edu/~aiken/SHAKEBAKE/rockclassification.pdf The IUGS systematics of igneous rocks]
{{commons category|Igneous rocks|position=left}}
 
 
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:miamba]]