Tofauti kati ya marekesbisho "Nyuroni"

No change in size ,  miezi 6 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Disegno neurone 2.jpg|alt=Neuroni|thumb|239x239px|Nyuroni.]]
'''NYuroniNyuroni''' ni [[seli]] zinazobeba msukumo wa [[umeme]]. Ndiyo vitengo vya msingi vya [[mfumo wa neva]] na sehemu yake muhimu ni [[ubongo]].
 
Kila nYuroninyuroni hufanywa na [[kiini]] cha seli (pia huitwa soma), [[chembe]] za ubongo na [[aksoni]]. Chembe za ubongo na aksoni zipo katika muundo wa [[nyuzi]].
 
Kuna takriban nyuroni [[bilioni]] 86 katika ubongo wa [[binadamu]], ambazo zinajumuisha karibu 10[[%]] ya seli zote za ubongo.