Mfumo wa neva : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Gray797.png|thumb|right|250px|Mfumo wa neva ulivyoenea mwilini mwa [[binadamu]].]]
'''Mfumo wa neva''' ni sehemu ya [[mwili]] wa [[wanyama]] ambayo inaratibu matendo yake ya [[hiari]] na yasiyo ya hiari na kutuma [[taarifa]] kati ya viungo mbalimbali.
 
Kwa mara ya kwanza [[tishu]] za [[neva]] zilitokea katika [[wadudu]] wa [[jamii]] ya [[minyoo]] ([[Ediacara biota]]) miaka [[milioni]] 550 hadi 600 hivi iliyopita.
 
[[Spishi]] nyingi za wanyama zina sehemu kuu mbili, sehemu ya kati ya neva na sehemu ya pembeni. Sehemu ya kati ya neva inajumuisha [[ubongo]] na [[mrija]] wa [[uti wa mgongo]] na sehemu ya pembeni inajumuisha neva zilizofungwa kwenye [[kambabando]] zilizounganishwa kwenye sehemu ya kati ya neva na sehemu nyingine za mwili.Sehemu ya kati ya neva hupeleka taarifa kutoka kwenye chanzo cha taarifa kupitia [[uti wa mgongo]] mpaka kwenye neva za [[ubongo]].Na piaPia sehemu zinginenyingine za mwili zina neva ambazo hupeleka taarifa.
 
{{mbegu-anatomia}}