Tofauti kati ya marekesbisho "Nyuroni"

261 bytes added ,  miezi 6 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Disegno neurone 2.jpg|alt=Neuroni|thumb|239x239px|Nyuroni.]]
'''Nyuroni''' ni [[seli]] zinazobeba msukumo wa [[umeme]] ndani ya [[mwili]]<ref>Mnamo 1770 tabibu Mwitalia Luigi Galvani alifanya majaribio ya kusababisha mitukutiko ya miguu ya chura aliyechinjwa kwa msaada wa mashine ya umeme. Hivyo ilitambuliwa ya kwamba umeme una kazi hata katika mwendo wa mwili na musuli.</ref>. Ndiyo vitengo vya msingi vya [[mfumo wa neva]] na sehemu yake muhimu ni [[ubongo]].
 
Kila nyuroni hufanywa na [[kiini]] cha seli (pia huitwa soma), [[chembe]] za ubongo na [[aksoni]]. Chembe za ubongo na aksoni zipo katika muundo wa [[nyuzi]].