Nathaniel Mtui : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Nathaniel Mtui''' alikuwa [[mwanahistoria]] wa Tanzania mwenye [[asili]] ya [[Wachagga|Kichagga]].
 
Alizaliwa mnamo [[mwaka]] [[1892]] katika mtaa wa Mshiri huko [[Marangu]], [[Mkoa wa Kilimanjaro|mkoani]] [[Kilimanjaro]] nchini [[Tanzania]]. Alikuwa [[mwalimu]] kipindi cha [[utawala]] wa kikolinikikoloni wa [[Wajerumani]] huko [[Marangu]].
 
Amejulikana kama mtu wa kwanza kuandika kuhusu [[historia]] ya Wachaga kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]], [[Kijerumani]] na [[Kichagga|Kichaga]].<ref>Stahl, Kathleen Mary (1964). History of the Chagga people of Kilimanjaro. Mouton.</ref>