Beatrix Mugishagwe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
==Maisha yake==
Mugishagwe alisomea utengenezaji filamu [[Ujerumani Magharibi]],
Alianzisha kampuni yake ya uzalishaji filamu Abantu Visions, na kuandaa makala ya [[Kiswahili]] ya [[mazingira]] yenye sehemu [[ishirini na nne]] pamoja na makala nyingine iliyohusu viongozi wa kike wa Afrika iliyowasilishwa na Bi.Angélique Kidjo. Makala hii ilihusu wanawake kama Ellen Johnson Sirleaf, Graça Machel na Wangari Maathai<ref name="SaulAusten2010"/> pamoja na Imruh Bakari na mhadhiri Augustine Hatar. <ref name="SaulAusten2010"/>
Bi. Mugishagwe alihusika katika utengenezaji wa filamu ya ''Tumaini'' (2005).
==Marejeo==
|