Issa Michuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 4:
Michuzi tangu zamani alikuwa akipendelea kazi ya upigaji picha. Mnamo mwaka 1980 alijiunga na vipindi vya jioni katika taasisi iitwayo [https://www.goethe.de/ins/ts/en/index.html|Goethe-Institut-[[Dar es Salaam]]]. Moja kati ya picha alizowahi kupiga ilichaguliwa kwa ajili ya kurasa ya mwanzo wa gazeti la ''[[Daily News (Tanzania)|Daily News]]'' linalomilikiwa na serikali ya Tanzania.
 
Baada ya hapo aliajiriwa kwa mkataba wa muda mfupi kama [[Stringer (journalism)|ripota]] kwa muda wa miaka mitatu kabla ya kuajiriwa kwa mkataba wa muda mrefu Januari mwaka 1990.<ref name="sporah">{{cite web|url=http://sporahmagazine.blogspot.co.uk/2011/05/exclusive-interview-with-tanzanias-most.html|title=EXCLUSIVE INTERVIEW WITH TANZANIA'S MOST POPULAR BLOGGER ISSA MICHUZI!|last1=|first1=|last2=|first2=|date=May 2011|website=sporahmagazine.blogspot.co.uk|publisher=|accessdate=13 May 2013}}</ref>
 
Mwaka 1992 alijiunga na [[Internationales Institut für Journalismus|Chuo cha Uandishi wa Habari cha Ujerumani]] mjini [[Berlin]]