Paneli ya sola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
 
==Paneli za nuruumeme==
[[Picha:Photovoltaik Dachanlage Hannover - Schwarze Heide - 1 MW.jpg|300px|thumb|Paneli za muruumeme kwenye paa za nyumba huko Ujerumani]]
Paneli za aina hii huwa na idadi kubwa ya [[seli za nuruumeme]] ambazo zinabadilisha nishati ya nuru kuwa umeme. Umeme hukusanywa katika beteri na kutoka hapa inaweza kubadilishwa tena kuwa umeme mwenye volteji inayotumiwa na vifaa kwenye nyumba.
 
Paneli nyingi zinazounganishwa zinatoshelezea hata mahitaji makubwa ya umeme kama kiwandani. Mara nyingi umeme kutoka paneli za nyumba moja unaingizwa katika mtandao wa umeme wa kitaifa.
Recycling|work=|publisher=SEIA|accessdate=May 7, 2015}}</ref> <ref>{{Cite web|url=http://2011.solarteam.org/news/recycling-methods-for-used-photovoltaic-panels|title=Recycling Methods for Used Photovoltaic Panels|author=Nick Weadock|date=September 1, 2011|work=|publisher=Watershed|accessdate=May 7, 2015}}</ref>
 
== Matumizi ==