Usumaku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Sumakuumeme na usumakuumeme: masahihisho kadhaa - bado kamili
Mstari 26:
 
== Mawimbi ya sumakuumeme ==
[[Mawimbi sumakuumeme]] ([[ing.]] ''electromagnetic waves'') ni [[mnururisho]] wa [[mawimbi]] zinazounganisha [[uga sumaku]] na uga wa [[umeme]] na kubeba nishati. Mifano ya mawimbi sumakuumeme ni [[wimbiredio]], [[mikrowevu]], mawimbi ya [[joto]], mawimbi ya [[urujuanimno]], [[eksirei]], na [[nuru]] inayoonekana kwetu.
[[Mionzi]] ya umeme ikiwa ni pamoja na [[mawimbi]] ya redio na [[mawimbi ya mwanga]] hutumiwa kwa [[mawasiliano]] ikiwa ni pamoja na utangazaji na [[nyuzi za macho]], na kwa madhumuni mengine mengi.
 
== Uga sumaku wa Dunia ==