Paneli ya sola : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:Symbol_for_Solar_Panel.jpg|thumb| Mfumo wa kimsingi wa paneli ya sola ]]
'''Paneli ya sola''' (pia: '''paneli ya Jua'''
Kuna aina mbili za paneli za sola
*paneli zinazokusanya [[joto]] (''thermal'')
*paneli za kuzalisha [[umeme]] ([[
== Jina ==
Paneli ya sola ni [[tafsiri]] ya Kiingereza "solar panel". "Solar" inamaanisha [[kitu]] kinachohusiana na [[Jua]] (kutoka [[Kilatini]] sol = Jua); "panel" ni sehemu nyembamba na bapa.
== Paneli za kukusanya joto ==
[[Picha:Solar panels, Santorini2.jpg|250px|thumb|Paneli za kukusanya joto,
Paneli za jua za joto kawaida hufanywa kutoka kwa [[sanduku]] lililofunikwa kwa [[kioo]]. Ndani ya sanduku kuna
▲kwa kioo. Ndani ya sanduku kuna mambomba meusi; rangi nyeusi inasaidia kupokea mwanga wa Jua, ilhali kioo cha juu kinaruhusi miale ya Jua kufika ndani ilhali kinatunza joto ndani ya sanduku.
Katika paneli sahili [[maji]] hupashwa
Paneli tata zaidi hutumia [[kiowevu]] cha pekee ambacho kinazunguka kwa msaada wa [[pampu]] katika [[kifaa]] cha kupitisha joto kwa maji au [[mafuta]] fulani. [[Muundo]]
==Paneli za nuruumeme==
[[Picha:Photovoltaik Dachanlage Hannover - Schwarze Heide - 1 MW.jpg|300px|thumb|Paneli za
Paneli za aina hii huwa na [[idadi]] kubwa ya [[seli za nuruumeme]] ambazo zinabadilisha nishati ya [[nuru]] kuwa umeme.
Paneli nyingi zinazounganishwa zinatoshelezea hata mahitaji makubwa ya umeme kama [[Kiwanda|kiwandani]]<ref>[https://www.helicalpower.com/ "Solar Power Plant Report"]</ref>. Mara nyingi umeme kutoka paneli za nyumba moja unaingizwa katika [[mtandao]] wa umeme wa kitaifa ([[gridi]]).
==Tanbihi==▼
<references/>▼
[[Jamii:nuruumeme]]▼
== Matumizi ==
* kuongeza joto
* kuendesha pampu za nguvu
* kuchaji beteri
* kuwezesha nyumba yako, kambi, kabati, kumwaga chombo, au jengo lingine lolote kwa jambo hilo.
* vituo vyenye paneli nyingi hufanya kazi ya kituo cha umeme.<ref>{{Cite web|url=http://electrical.about.com/od/appliances/tp/Top-10-Solar-Energy-Uses.htm|title=Top 10 Energy Uses|author=Timothy Thiele|work=|publisher=About Home|accessdate=May 17, 2015}}</ref>
Line 40 ⟶ 34:
[[Picha:STS-97_ISS.jpg|thumb| STS-97 ISS paneli za sola kwenye Kituo cha Anga cha Kimataifa]]
▲==Tanbihi==
▲<references/>
{{
[[Jamii:umeme]]
|