Tofauti kati ya marekesbisho "Urujuanimno"

86 bytes added ,  miezi 6 iliyopita
no edit summary
 
[[Picha:Nuru inayoonekana katika spektra.jpg|450px|thumbnail|Urujuanimno upande wa lukoka fupi zaidi ya spektra inayoonekana]]
'''Urujuanimno''' (kwa [[ing.Kiingereza]]: ''ultraviolet'', [[kifupi]]: '''UV''') ni aina ya [[nuru]] isiyoonekana kwana [[binadamu]] lakiniila kwana [[wanyama]] mbalimbali. Kwa [[lugha]] nyingine na makini zaidi ni sehemu ya [[mnururisho wa sumakuumeme]] mwenyewenye [[lukoka]] (''wavelength'') baina ya [[nanomita]] 400 nm hadi 10 nm, ambayo ni lukoka fupi kuliko [[urujuani]] inayoonekana lakini ndefu zaidi kuliko [[eksirei]].
 
Wanyama wengi pamoja na [[wadudu]] kadhaa, [[mamba]], [[Ndege (mnyama)|ndege]] wengine wadogo wanaweza kutambua urujuanimno.
Mnururisho wa urujuanimno unafika [[duniani]] kama sehemu ya nuru ya [[jua]].
 
==Mnururisho wa urujuanimno na afya ya watu==
Viwango vikubwa vya mnururisho wa urujuanimno vinaweza kusababisha uharibifu kwa [[seli]] za binadamu. [[Ngozi]] ya binadamu inajenga [[rangi]] ya [[melanini]] kama kinga dhidi yake. [[Ozoni|Tabaka yala ozoni]] katika [[angahewa]] ya [[Dunia]] inachuja sehemu ya mnururisho huuhuo lakini kwenye maeneo ya [[ikweta]] kiwango kinachopitakinachofika hadi uso wa dunia ni kubwakikubwa zaidi.
 
Hapo niNdiyo sababu ya kwamba watu katika maeneo karibu na ikweta wana rangi nyeusinyeusi[[nyeusi]] zaidi. Watu wanaoishi mbali na ikweta hawahitaji kiwango hikihicho cha kinga dhidi ya mnururisho wa urujuanimno na kwa sababu hiyo watu wenye rangi [[nyeupe]] zaidi waliweza kuendelea huko [[kaskazini]]. Pale ambako watu kutoka sehemu za kaskazini walihamia katika maeneo ya ikweta wana hatari kubwa zaidi ya kupata [[kansa ya ngozi]] na hii inaonekana katika [[asilimia]] kubwa ya [[kansa]] hiihiyo kati ya wazunguWazungu wa [[Australia]].
 
Asilimia kubwa ya [[kansa ya ngozi]] kati ya watu walioathiriwa na [[zeruzeruuzeruzeru]] katika [[Afrika]] ina sababu hiyohiyo.
 
[[Uga sumaku wa Dunia|Ugasumaku waya Dunia]] hukengeusha kiasi kikubwa cha mnururisho wa urujuanimno pamoja na [[Upepo jua|upepo Jua]] kutoka [[angahewa]] na kwa njia hiihiyo unakingainakinga angahewa yetu.
 
==Viungo vya Nje==
* [http://missionscience.nasa.gov/ems/10_ultravioletwaves.html Ultraviolet light from our sun ([[NASA]])]
* [http://www.wisegeek.org/what-is-uv-light.htm#didyouknowout What is ultraviolet light?]
 
==Kujisomea==
{{Commons category|Ultraviolet light}}
{{Wiktionary}}
* {{Cite journal
| last = Hu
}}
 
==Viungo vya Nje==
 
{{Commons category|Ultraviolet light}}
{{Wiktionary}}
* [http://missionscience.nasa.gov/ems/10_ultravioletwaves.html Ultraviolet light from our sun ([[NASA]])]
* [http://www.wisegeek.org/what-is-uv-light.htm#didyouknowout What is ultraviolet light?]
{{mbegu-sayansi}}
[[jamii:Fizikia]]