Uga sumaku wa Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Uga sumaku wa Dunia hadi Uga sumaku ya Dunia: usahihi wa jina
→‎Kinga ya uhai: + ukanda wa Van Allen
Mstari 7:
 
==Kinga ya uhai==
Uga sumaku ya Dunia inakengeusha [[upepo juawa Jua]] ambao ni mkondo vya vyembe kutoka Jua. Kama upepo wa Jua ungeweza kupiga [[angahewa]] moja kwa moja ungeondoa [[tabaka la ozoni]] linalozuia [[Urujuanimno|mnururisho haribifu wa urujuanimno]] kufika kwenye uso wa ardhi<ref>{{cite journal |title=Solar wind hammers the ozone layer |first=Quirin |last=Shlermeler |date=3 March 2005 |doi=10.1038/news050228-12 |journal=News@nature |url=http://www.nature.com/news/2005/050228/full/news050228-12.html}}</ref>. [[Utafiti]] wa [[Mirihi|sayari ya Mirihi]] umeonyesha kwamba kupotea kwa uga sumaku ya [[sayari]] hiyo kulisababisha kupotea kwa [[gesi]] karibu zote za angahewa ya Mirihi<ref>{{cite news |title=Solar wind ripping chunks off Mars |url=http://archive.cosmosmagazine.com/news/solar-wind-ripping-chunks-mars/ |work=Cosmos Online |date=25 November 2008 |accessdate=21 October 2013 |url-status=dead |archiveurl=https://web.archive.org/web/20160304072916/http://archive.cosmosmagazine.com/news/solar-wind-ripping-chunks-mars/ |archivedate=4 March 2016 }}</ref>.
 
Duniani uga sumaku wake unashika vyembe hivi katika eneo la [[Ukanda wa Van Allen|ukanda wa Van Allen]] ambako vinazunguka sayari yetu kwa kimo cha kilomita 700 au zaidi bila kupiga uso wa Dunia.
 
==Tanbihi==