Silika (kemia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '<sup>Kuhusu tabia za watu angalia hapa: Silika</sup> '''Silika''' au '''dioksidi ya silikoni''' (ing: ''silica, silicon dioxide'') ni kampaundi ya kikemi...'
 
No edit summary
 
Mstari 5:
Silika inafanya sehemu kubwa ya [[mchanga]] unaopatikana duniani. Silika safi huyeyushwa na kutumiwa kwa kutengeneza [[kioo]]. Pamoja na [[saruji]] hukorogwa kuwa [[zege]].
 
Silika hutokea kiasili kwa umbo la [[miamba]] mbalimbali, hasa [[kwazishondo]] ''(quartz)''. Inapatikana kwa wingi maana ni sehemu kubwa ya ganda la Dunia.