Makazi (ekolojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Replacing African_Elephant_distribution_map_2.svg with File:African_Elephant_distribution_map_without_borders.svg (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 4 (harmonizing names of
Mstari 1:
[[File:African Elephant distribution map 2without borders.svg|thumb|right|Makazi yaliyobaki ya [[Tembo]] wa [[Afrika]]]]
[[File:RangeMap Lmarinus.jpg|thumb|right|Ramani ya usambazaji inayoonyesha makazi mbalimbali ya kuzaa ya gali wenye mgongo mweusi]]
'''Makazi''' (kwa [[Kiingereza]] na [[Kilatini]]: ''habitat'') kwa maana ya [[elimu]] ya [[ekolojia]] ni eneo au [[mazingira]] ambayo ni makao ya [[mnyama]] au [[mmea]] fulani au aina nyingine ya [[viumbe hai]]. Ni mazingira ya asili ambapo kiumbe huishi, au mazingira ambayo yanazunguka [[idadi]] ya [[jamii]].