Tofauti kati ya marekesbisho "Kilima"

468 bytes added ,  miezi 6 iliyopita
no edit summary
d (Kipala alihamisha ukurasa wa Hill hadi Kilima)
[[Picha:Heath_Mynd.jpg|right|thumb|300x300px| Vilima ]]
'''Kilima''' ni mwinuko wa ardhi ambao uko juu kuliko eneo linalokizunguka lakini ni ndogo kuliko [[mlima]] . Vilima ni miinuko ya chini zaidi kuliko milima. Kwa lugha nyingine ni mlima mdogo. Uso wa kilima ni imara zaidi kuliko ile ya [[tuta la mchanga]] .
 
Hakuna ufafanuzi kamili kuhusu tofauti kati ya kilima na mlima unaokubaliwa kote. Katika sehemu za tambarare mwinuko wa mita mia kadhaa unaweza kuitwa "mlima", kinyume chake katika sehemu za milima mirefu mwinuko wa mita 1000 unaweza kuitwa "kilima", mfano miinuko ya Ngong karibu na [[Nairobi]] huitwa "[[Ngong Hills]]" ingawa inafikia kimo cha zaidi ya mita 2,000 juu ya usawa wa bahari. Kwa jumla kilima hutazamiwa kuwa kidogo na bila mtelemko mkali kama mlima kamili.
Hakuna tofauti kati ya The distinction between a hill and a mountain is unclear and largely subjective, but a hill is universally considered to be less tall and less steep than a mountain.
 
Asili ya vilima mara nyingi ni sawa na asili ya milima; kunjamano ya ganda la Dunia au vilima kama mabaki ya miinuko mikubwa zaidi, mfano kutokana na mmomonyoko wa milima mikubwa.
== Picha ==
 
[[jamii:milima]]