Ab urbe condita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removed redirect to Kalenda ya Juliasi
Tag: Removed redirect
Mstari 5:
Tarehe halisi ya kuundwa kwa Roma haijulikani. Mwanahistoria Mroma Marcus Terentius Varro alikadiria tarehe inayolingana na 21 Aprili 753 KK kuwa siku ambako mji wa Roma uliundwa.
 
== Kutafsiri miaka A.u.c. kwa miaka ya Kalenda ya Gregori ==
== Makadirio ==
=== Fomula ===
Miaka kabla ya kuundwa kwa Roma ''(ante urbem conditam)'' hukadiriwa hivyo: