Funguvisiwa la Kurili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Replacing Sea_of_Okhotsk_map.png with File:Sea_of_Okhotsk_map_with_state_labels.png (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 2 (meaningless or ambiguous name) · States aren't inhe
Mstari 1:
[[Picha:Sea_of_Okhotsk_mapSea of Okhotsk map with state labels.png|350px|thumb|Mahali pa Kurili kati ya Japani na Kamchatka - Urusi bara]]
'''Funguvisiwa la Kurili''' (kwa [[Kirusi]] кури́льские острова́, ''kurilskiye ostrova'') ni [[kundi]] la [[visiwa]] katika [[Pasifiki]] ya [[Kaskazini]] ambavyo ni sehemu ya [[Urusi]]. Ni visiwa 56 (pamoja na miamba midogo) viivyopangwa kama safu au nyororo yenye [[urefu]] wa [[kilomita]] 1300 kati ya [[rasi]] ya [[Kamchatka]] ya Urusi na kisiwa cha [[Hokkaido]] cha [[Japani]]. Kwa namna fulani inatenga [[Bahari ya Okhotsk]] na Pasifiki kubwa.