Bahari ya Okhotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing Sea_of_Okhotsk_map.png with File:Sea_of_Okhotsk_map_with_state_labels.png (by CommonsDelinker because: File renamed: Criterion 2 (meaningless or ambiguous name) · States aren't inhe
Mstari 1:
{{Coord|55|N|150|E|type:waterbody_scale:10000000|display=title}}
[[Picha:Sea_of_Okhotsk_mapSea of Okhotsk map with state labels.png|right|thumb|Ramani ya Bahari ya Okhotsk.]]
'''Bahari ya Okhotsk''' ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Pasifiki]] ya [[magharibi]]. <ref name="LiuAtkinson2009">{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=tpfrKj4G3EUC&pg=PA331|title=Carbon and Nutrient Fluxes in Continental Margins: A Global Synthesis|last=Kon-Kee Liu|last2=Larry Atkinson|date=June 2009|publisher=Springer|isbn=978-3-540-92734-1|pages=331–333|access-date=29 November 2010}}</ref> Iko kati ya [[Kamchatka|rasi ya Kamchatka]] upande wa [[mashariki]], [[visiwa]] vya [[Kurili]] upande wa [[kusini]] mashariki, [[kisiwa]] cha [[Mkoa wa Hokkaidō|Hokkaidō]] upande wa kusini, kisiwa cha [[Sahalin|Sakhalin]] kwenye [[magharibi]], na [[pwani]] ya [[Siberia]] ya mashariki upande wa [[magharibi]] na [[kaskazini]]. [[Ghuba ya Shelikhov]] iko upande wa kaskazini mashariki.