Ab urbe condita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Ab urbeUrbe condita''', ([[kifupi]]: '''A.uU.c. AUC, AVC, a.U.c. hata AU''',) ilikuwa namna ya [[Waroma wa Kale]] kuhesabu miaka. [[Neno|Maneno]] hayo ni ya [[Kilatini]] na yanamaanisha "baada yatangu kuundwa kwa mji". Kwa hiyo Waroma wa Kale walihesabu miaka tangu kuundwa kwa [[mji]] wa [[Roma]]. Tendo hili liliaminiwa kutokea [[mwaka]] [[753]] [[KK]] iliyokuwailiyohesabiwa kuwa mwaka A.uU.c. 1.
 
Haikuwa [[hesabu ya]] pekee katika Roma ya Kale; kwa kawaida walitaja mawakamwaka kwa kutumia [[Jina|majina]] ya [[konsuli|makonsuli]] wawili waliochaguliwa pamoja kuongoza [[serikali]] kwa mwaka mmoja.
 
[[Tarehe]] halisi ya kuundwa kwa Roma haijulikani. [[Mwanahistoria]] Mroma [[Marcus Terentius Varro]] alikadiria tarehe inayolingana na [[21 Aprili]] 753 KK kuwa [[siku]] ambako mji wa Roma uliundwa.
 
== Kutafsiri miaka A.uU.c. kwa miaka ya Kalenda ya Gregori ==
=== Fomula ===
Miaka kabla ya kuundwa kwa Roma ''(ante urbemUrbem conditam)'' hukadiriwa hivyo:
* Mwaka <math>x</math> ante u.&nbsp;c. ni mwaka <math>(x + 753)</math> KK
* Mwaka <math>y</math> KK ni mwaka <math>(y - 753)</math> ante uU.&nbsp;c.
 
Miaka baada ya kuundwa kwa Roma ''(ab urbeUrbe condita)'' na kabla ya kuzaliwa kwa [[Kristo]] hukadiriwa hivyo:
* Mwaka <math>x</math> a.&nbsp;u.&nbsp;c. ni mwaka <math>(754 - x)</math> KK
* Mwaka <math>y</math> [[KK]] ni mwaka <math>(754 - y)</math> a.&nbsp;uU.&nbsp;c.
 
Baada ya kuzaliwa kwa Kristo:
* Mwaka <math>x</math> a.&nbsp;uU.&nbsp;c. ni mwaka <math>(x - 753)</math> [[BK]]
* Mwaka <math>y</math> BK ni mwaka <math>(y + 753)</math> a.&nbsp;uU.&nbsp;c.
 
 
=== Mifano ===
:Mwaka 440 kabla ya kuundwa kwa Roma ''(ante urbemUrbem conditam)'' = 440 + 753 = 1193 KK (mwaka ulioaminiwa uharibifu wa [[Troia]] ulitokea)
 
: 245 a.&nbsp;uU.&nbsp;c. = 754−245 = 509 KK (mwanzo wa [[Jamhuri ya Roma]])
: 2 ante urbemUrbem conditam = 755 KK
: 1 ante urbemUrbem conditam = 754 KK
: 1 ab urbeUrbe condita = 753 kabla ya Kristo (mwaka wa kuundwa kwa mji wa Roma)
: 2 a.&nbsp;uU.&nbsp;c. = 752 KK
: usw.
 
: 750 a.&nbsp;uU.&nbsp;c. = [[4 KK]] (mwaka wa [[kifo]] cha [[Herode Mkuu]]);
: 751 a.&nbsp;uU.&nbsp;c. = 3 KK;
: 752 a.&nbsp;uU.&nbsp;c. = 2 KK;
: 753 a.&nbsp;uU.&nbsp;c. = 1 KK;
: 754 a.&nbsp;uU.&nbsp;c. = 1 baada ya Kristo;
: 755 a.&nbsp;uU.&nbsp;c. = 2 BK
: {{#expr:{{#time: Y}} + 753}} a.&nbsp;uU.&nbsp;c. = {{#time: Y}} BK
: na kadhalika
 
[[jamii:Kalenda]]
[[Jamii:Roma]]