Kalenda ya Gregori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 15:
== Sababu za matengenezo ya kalenda ==
=== Kasoro za Kalenda ya Juliasi ===
Papa Gregori XIII kama [[kiongozi]] wa kiroho wa [[dunia]] ya [[Kikatoliki]] (sehemu kubwa ya [[Ulaya]]) alitaka kusahihisha kasoro zilizoonekana katika kalenda ya awali. Tangu zamani za [[Waroma wa Kale]] [[hesabu]] ya wakati ilifuata [[Kalenda ya Juliasi]] iliyoanzishwa na [[Julius Caesar]] mwaka [[46 KK]]. Kalenda hiyo ilikuwa na tatizo la kuwa urefu wa mwaka wake ulikadiriwa kuwa siku 365.25 kamili. Lakini hali halisi urefu wa mwaka wa Jua ni siku 365.2425. Hivyo mwaka wa Juliasi ulipita muda kamili wa mwaka wa [[jua]] kwa [[dakika]] 11 na [[sekondi]] 14 yaani mwaka wa kalenda hii ulikuwa mrefu mno kiasi cha dakika 11 kila mwaka. Kosa lilikuwa dogo mwanzoni lakini lilizidi kuongezeka.
 
=== Kusogeza kwa tarehe ya Pasaka ===