Kalenda ya Misri ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Egyptian calendar hadi Kalenda ya Misri ya Kale |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Senenmut-Grab.JPG|300px|thumb|Kalenda ya Misri ya Kale kwenye ukuta wa kaburi la mwaka 1460 KK]]
'''Kalenda ya Misri ya Kale''' ilikuwa [[kalenda ya jua]] yenye [[siku]] 365 inayoendelea kutumiwa hadi leo katika [[Kanisa la Kikopti]] na pia na wakulima wa [[Misri]].
==Ugawaji wa mwaka==
Majira 3 ya mwaka yalifuata hali ya [[Mto Naili]], yaani
Majira yaligawiwa kwa miezi minne yenye siku 30. Hii miezi 12 hapo awali ilitajwa kwa namba lakini baadaze ilijulikana pia kwa majina ya sherehe zao kuu. Kila mwezi uligawanywa katika miongo mitatu ya siku 10. ▼
*majira ya mafuriko (takribani Juni hadi Septemba)
*majira ya kutokea upya kwa nchi kavu (takribani Oktoba hadi Januari)
*majira ya mavuno (takribani Februari hadi Mei)
Ilhali Misri ni nchi penye mvua kidogo mno, mafuriko ya kila mwaka yaliyoleta maji ya mvua kutoka [[Ethiopia]] pamoja na matope yenye rutba yalikuwa msingi wa kilimo katika bonde la Naili hadi kujengwa kwa [[Lambo la Assuan]] mnamo 1960-1970.
▲Majira yaligawiwa kwa miezi minne yenye siku 30. Hii miezi 12 hapo awali ilitajwa kwa namba lakini
Mwaka huu ulikuwa karibu robo ya siku mfupi kuliko mwaka wa jua. kalenda ya Wamisri ilipoteza karibu siku moja kila baada ya miaka nne kulingana na [[Kalenda ya Gregori|kalenda]] ya [[Kalenda ya Gregori|Gregori]]. Hali hii ilitambuliwa kama hasara lakini majaribio ya kusahihisha kasoro kwa kuongeza siku ya sita ya nyongeza kila baada ya miaka minne yalishindikana kutokana na upinzani kwa viongozi wa kidini. ▼
==Mwaka mfupi==
Sahihisho iliwezekana tu wakati Misri ilitawaliwa na Dola la Roma chini ya Kaisari Augusto. ▼
▲Mwaka huu ulikuwa karibu robo ya siku mfupi kuliko mwaka wa jua.
▲Sahihisho iliwezekana tu wakati Misri ilitawaliwa na [[Dola la Roma]] chini ya [[Kaisari Augusto]] mnamo mwaka 24 au 25 BK.
==Misingi==
Kalenda ilianzishwa mapema wakati wa milenia ya tatu KK. Wataalamu wa Misri ya Kale walitambua kwamba nyota ya [[Shira (nyota)|Shira (Sirius)]] ilianza kuonekana angani kila mwaka wakati huohuo kama kutokea kwa mafuriko ya Mto Naili. Hivyo tarehe ya kuonekana kwa Shira mnamo 19 Juni ilikuwa siku ya mwaka mpya wakati kalenda ilianzishwa; ila tu kutokana na ufupi wa mwaka wa Kimisri Shira ilianza kutokea kabla ya sikuy a mwaka mpya.
==Matumizi baada ya Misri ya Kale==
Tangu masahihisho chini ya Kaisari Augusto, kalenda iliendelea sambamba na [[Kalenda ya Juliasi]] ya Waroma. Pia baada ya uvamizi wa Waarabu na kuenea kwa Uislamu iliendelea kutumiwa na Kanisa la Kikopti kwa kupanga liturgia na sikukuu zake.
Pia wakulima wa Misri, wakiwa Wakristo au Waislamu, waliendelea kutumia kalenda hiyo kwa kukadiria kazi zao zilizotegema majira ya mafuriko ya mto Naili.
<references/>
=== Vitabu ===
* {{citation|last=Clagett|first=Marshall|title=Ancient Egyptian Science: A Source Book, ''Vol. II:'' Calendars, Clocks, and Astronomy|date=1995|url=https://books.google.com/books?id=xKKPUpDOTKAC&printsec=frontcover|series=''Memoirs of the APS'', No. 214|location=Philadelphia|publisher=American Philosophical Society|authorlink=Marshall Clagett}}.
* {{citation|last=Everson|first=Michael|title=Encoding Egyptian Hieroglyphs in Plane 1 of the UCS|date=1999|url=https://www.unicode.org/L2/L1999/N1944.pdf|publisher=Unicode}}.
Line 40 ⟶ 48:
* {{citation|last=Vygus|first=Mark|title=Middle Egyptian Dictionary|date=2015|url=http://www.pyramidtextsonline.com/documents/VygusDictionaryApril2015.pdf}}.
==
* [http://www.instonebrewer.com/TyndaleSites/Egypt/ptolemies/chron/egyptian/chron_eg_intro.htm Detailed information about the Egyptian calendars, including lunar cycles]
* [http://egypt.online-resourcen.de/content/Date-Converter-Ancient-Egypt Date Converter for Ancient Egypt]
|