Kalenda ya Gregori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
No edit summary
Mstari 15:
== Sababu za matengenezo ya kalenda ==
=== Kasoro za Kalenda ya Juliasi ===
Papa Gregori XIII kama [[kiongozi]] wa kiroho wa [[dunia]] ya [[Kikatoliki]] (sehemu kubwa ya [[Ulaya]]) alitaka kusahihisha kasoro zilizoonekana katika kalenda ya awali. Tangu zamani za [[Waroma wa Kale]] [[hesabu]] ya wakati ilifuata [[Kalenda ya Juliasi]] iliyoanzishwa na [[Julius Caesar]] mwaka [[46 KK]]. Kalenda hiyo ilikuwa na tatizo la kuwa urefu wa mwaka wake ulikadiriwa kuwa siku 365.25, kamili. Lakini hali halisi urefu wa mwaka wa Juakumbe ni siku 365.2425. Hivyo mwaka wa Juliasi ulipita muda kamili wa mwaka wa [[jua]] kwa [[dakika]] 11 na [[sekondi]] 14 yaani mwaka wa kalenda hii ulikuwa mrefu mno kiasi cha dakika 11 kila mwaka. Kosa lilikuwa dogo mwanzoni lakini lilizidi kuongezeka hadi hadi mwaka.
 
=== Kusogeza kwa tarehe ya Pasaka ===
Mstari 77:
* [[Washairi]] [[Mwingereza]] [[William Shakespeare]] na [[Mhispania]] [[Miguel de Cervantes]] walikufa wote tarehe [[23 Aprili]] [[1616]] ingawa Shakespeare alikufa siku 11 baada ya Cervantes - lakini mmoja alikufa nchini [[Hispania]] (iliyotumia tayari kalenda ya Gregori) na mwingine nchini [[Uingereza]] (bado ilifuata kalenda ya Juliasi)
 
== Viungo vya Njenje ==
* [http://www.fourmilab.ch/documents/calendar/ Calendar Converter]
* [http://www.bluewaterarts.com/calendar/NewInterGravissimas.htm Inter Gravissimas (Latin and French plus English)]