Wimbo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Asanteni Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 5:
Muundo wa nyimbo huwa ni wa kuimbika na [[mizani]] ya kila mstari mara nyingi huwa inalingana.
Wahusika wa nyimbo huwa ni mtu mmoja au kikundi cha watu. Nyimbo aghalabu huambatana na [[ala]] za [[muziki]] kama vile [[ngoma]], [[zeze]], [[marimba]], makofi, [[vigelegele]] na kadhalika.
*Nyimbo za wanabaharia huitwa kimai.
*Nyimbo za kulika huitwa wawe au vave *Nyimbo ziimbwazo mja anapofanya kazi huitwa hodiya. *Nyimbo ziimbwazo na watoto wanapocheza huitwa Nyimbo za chekechea. *Nyimbo ziimbwazo ili kuwabembeleza watoto huitwa bembeleza au bembezi. ==Aina za nyimbo==
Kuna aina nyingi za nyimbo zikitofautishwa na nchi, [[utamaduni]] na [[waimbaji]] wenyewe. Kwa mfano kuna nyimbo za kitamaduni, za [[Injili|Kiinjili]] na za kisasa.
Hivyo vikundi ni kulingana na nyakati na vinaweza kugawanywa zaidi kulingana na tofauti. Kwa mfano nyimbo za kisasa zinaweza
Nyimbo za kisasa zinarekodiwa kwenye [[studio]] za kisasa lakini pia katika studio za nyumbani, mtindo unaoleta mageuzi makuu kwa [[wasanii]]. Leo unaweza kurekodi wimbo mzima ukiwa [[Nyumba|nyumbani]] mradi uwe na vifaa vinavyohitajika.
|