Lambo la Aswan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:AswanHighDam Egypt.jpg|thumb|250px|Lambo la Aswan.]]
'''Lambo la Aswan''' liko katika [[Misri]] ya [[Kusini]] kwenye [[mto Nile]]. [[Ukuta]] wake uko [[kilomita]] 13 kusini yakwa [[mji]] wa [[Aswan]].
 
HapaHuko [[maji]] ya Nile yazuiliwa na kuwakuunda [[ziwa la Nasser]] linaloelekea hadi ndani ya [[Sudani]].
 
[[Lambo]] lilijengwa kati ya miaka [[1960]] - [[1970]]. Shabaha yake kuu ni kuzuia [[mafuriko]] ya mto Nile yaliyohatarisha [[maisha]] ya watu kandakando laya [[mto]]. Tatizo lake kubwa ni ya kwamba lilivurugisha ekolojia ya mto.
 
Mafuriko yalileta pia matope yenye rutba yanayobaki sasa ziwani na kujaza polepole ziwa lenyewe. Maji mengi hupotea kila siku kwa njia ya [[uvukizaji]] kwa sababu uso kubwa la ziwa uko katika nchi yenye joto kali.
 
Tatizo kubwa lililojitokeza ni kwamba lilivuruga [[ekolojia]] ya mto. Mafuriko yaliletayalikuwa yakileta pia [[matope]] yenye rutba[[rutuba]] yanayobaki sasa [[Ziwa|ziwani]] na kujaza polepole ziwa lenyewe. Maji mengi hupotea kila siku kwa njia ya [[uvukizaji]] kwa sababu uso kubwa la ziwa uko katika nchi yenye [[joto]] kali.
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Nile]]
 
[[Jamii:Misri]]
[[Jamii:NileSudan]]
[[Jamii:Malambo]]