Euro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Euro Series Banknotes (2019).jpg|thumb|200px|Noti za Euro.]]
[[Picha:Euro_sign.svg|thumb|100px|Ishara ya Euro.]]
'''Euro''' ni [[sarafu (mfumo)|sarafu]] ya pamoja katika baadhi ya nchi za [[Ulaya]]. Wakazi wake 343,000,000 ([[2019]]) wanatumia kwa kawaida [[pesa]] hiyo. Watu wengine 240210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa [[bara]]ni [[Afrika]].
 
Tangu mwaka [[2002]] nchi 13 za [[EU]] zilifuta [[sarafu]] ya kitaifa ili kutumia Euro tu. Siku hizi ni 19.
Mstari 7:
Euro moja imegawanyika katika [[senti]] 100.
 
Kuna [[benknoti]] za € 5 (kijivu), € 10 (nyekundu), € 20 (buluu]), € 50 (machungwa), € 100 (kijani), € 200 (njano), € 500 (nyekundu).
 
Kuna [[sarafu]] za [[metali]] 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.
Mstari 19:
 
== Nchi wanachama wa Euro ==
[[Picha:European union emu map de.png|thumb|400px|left|Ramani ya uenezi wa Euro.]]
[[Picha:Euro_banknotes_Europa_series.png|thumb|220px|PanotênNoti za Euro.]]
[[Picha:Euro coins and banknotes.jpg|thumb|220px|Noti na sarafu za Euro.]]
[[Picha:Second_serie_5,_10,_20,_50_Euro_banknotes.jpg|thumb|220px|Panotên Euro]]
# [[Austria]]
# [[Ubelgiji]]
Line 44 ⟶ 43:
<br clear=left />
 
Nchi 6 zifuatazo hutumia pia Euro kama pesa pekee bila kuwa sehemu za mapatano, ila 4 za kwanza kwa makubaliano maalumu, nyingine 2 kwa kujiamulia:
* [[San Marino]]
* [[Vatikan]]
Line 53 ⟶ 52:
 
Pesa za nchi zifuatazo zimeungwa na Euro:
* [[Afrika]]: nchi 1314 za [[CFA franc]]
* [[Kabo Verde]] - [[escudo]]
* [[Komori]] - [[franc]]
* [[Afrika]]: nchi 13 za [[CFA franc]]
* [[Bosnia-Herzegovina]] - [[convertible mark]]
* [[Moroko]] - [[dirham]]
* [[Bosnia-Herzegovina]] - [[convertible mark]]
* [[Bulgaria]] - [[lev]]
* [[Hungaria]] - [[forint]]
* [[Denmark]] - [[krone]]
* [[Masedonia Kaskazini]] - [[denar]]
* [[Pasifiki]]: maeneo 3 ya [[CPF franc]]
 
== Viungo vya nje ==
{{commons}}
* [http://www.ecb.europa.eu/euro/html/eurocoins.en.html Euro Coins and Notes] {{en}}
* [http://www.bis-ans-ende-der-welt.net/Europa-B-En.htm Euro (Benknoti na historia)] {{en}} {{de}}
 
{{commons}}
{{mbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Pesa]]
[[Jamii:Umoja wa Ulaya]]
[[Jamii:Uchumi wa Ulaya]]