Noti ya benki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Noti hadi Noti ya benki
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa maana menginenyingine ya neno hili tazama [[noti (maana)]]</sup>
 
[[Picha:Jiao_zi.jpg|thumb|300px|Karatasi ya pesa ya kwanza kutoka China.]]
'''Noti ya benki''', [[kifupi]]: '''noti''', ''(kutoka [[Kiingereza]] "banknote")'' kwa kawaida ni kipande cha [[karatasi]] (pia: [[plastiki]]) kinachochapishwa na kuonyesha [[namba]] fulani na [[jina]] la [[pesa]] ya nchi fulani. Inakubaliwa kama njia ya malipo halali-. Pamoja na [[sarafu]] ni [[pesa taslimtaslimu]] ya nchi fulani.
 
Kwa kawaida vipande vya [[sarafu]] au pesa taslimtaslimu metalia huwa na viwango vidogo zaidi na noti huwa na viwango vikubwa zaidi.
'''Noti ya benki''', kifupi '''noti''', ''(kutoka Kiingereza "banknote")'' kwa kawaida ni kipande cha [[karatasi]] (pia: [[plastiki]]) kinachochapishwa na kuonyesha namba fulani na jina la [[pesa]] ya nchi fulani. Inakubaliwa kama njia ya malipo halali- Pamoja na [[sarafu]] ni [[pesa taslim]] ya nchi fulani.
 
Kwa kawaida vipande vya [[sarafu]] au pesa taslim metalia huwa na viwango vidogo zaidi na noti huwa na viwango vikubwa zaidi.
 
== Usalama wa noti za benki ==
Tangu kutolewanoti kwazianze notikutolewa, wahalifu walijaribuwamejaribu kutengeneza noti bandia wakiiga zile zinazotolewa na benki rasmi. Kwa sababu hiyo [[benki kuu]] na [[serikali]] zinajitahidi kutoa noti ambazo ni vigumu kuigakuziiga. HapaHapo wanatumia karatasi za pekee zisizopatikana [[duka|madukani]], wanachapisha kwa [[rangi]] zisizosomekazisizosomewa na [[mashine]] ya [[fotokopi]], wanaingiza [[nyuzi]] za [[metali]] ndani ya karatasi na kadhalika.
 
Tangu mwisho wa [[karne ya 20]] nchi kadhaa zimeanza kutoa noti za plastiki badala ya karatasi. Hizi zina [[gharama]] kubwa zaidi ya kuzitengeneza lakini hadi sasa usalama ni kubwamkubwa zaidi, ni vigumu sana za kuigakuigwa, pia hazichakai haraka kama vile noti za karatasi.
 
== Historia ya noti za benki ==
Chanzo cha [[historia]] ya noti za benki ni [[barua]] zinazoahidi kulipa kiasi fulani cha pesa kwa mtu yeyote anayeshika barua ile. Kwa hiyo noti zilikuwa sawa na [[hundi]] za leo.
 
Chanzo cha historia ya noti za benki ni barua zinazoahidi kulipa kiasi fulani cha pesa kwa mtu yeyote anayeshika barua ile. Kwa hiyo noti zilikuwa sawa na [[hundi]] za leo.
 
=== Barua badala ya sarafu nzito ===
KiasiliKwa [[asili]] vipande vya [[metali adili]] kama [[dhahabu]] au [[fedha]] vilitumiwa kama pesa vikipimwa kuwa na [[uzito]] fulani, kwa mfano "pound" ya [[Uingereza]] ilikuwa sawa na uzito wa "[[pauni]]" au [[ratili]] moja ya fedha.
 
Wakati [[uchumi]] uliongezekaulipoongezeka watu walianza kutumia viasi vikubwa vya pesa na hii ilikuwa kazi ngumu kutokana na uzito wa sarafu nyingi. Hapo [[wafanyabiashara]] waliacha sarafu zao kwa mtu aliyeaminiwa na kushika barua kutoka kwake iliyothebitishailiyothibitisha ya kwamba alishika kiasi fulani kwa niaba ya mwingine. Pale ambakoambapo watu waliaminiana waliweza kutumia barua hizihizo kama malipo badala ya sarafu yenyewezenyewe.
 
=== China ===
Serikali ya kwanza ya kutoa pesa ya karatasi ilikuwa [[nasaba ya Song]] nchini [[China]] mnamo [[mwaka]] [[960]]. Noti hizihizo zilikuwa na [[maandishi]] zilizomwahidiyaliyomwahidia mwenye kuishika ya kwamba atapewa kiasi fulani cha fedha akiipeleka noti za benki kwa idara ya fedha ya serikali. Kimsingi hii ilibaki muundo wa noti hadi karne ya 20 yaani zilikuwa ahadi za serikali au za benki kubwa kumpatia mwenye noti kiasi fulani cha dhahabu au fedha.
 
Tatizo la pesa ya karatasai tangu mwanzo ilikuwa yalilikuwa kwamba serikali yenye matatizo iliweza kuendelea kuchapisha noti mpya kata kama haikuwa na [[akiba]] ya dhahabu au fedha ya kutosha. HiiHili haikuwahalikuwa tatizo mara moja kwa sababu hali halisi noti zilifanya kazi zaozake kama [[thamani]] ya noti zote ililingana na thamani ya [[bidhaa]] zilizopatikana katika nchi fulani. Lakini kama serikali iliendelea kuchapisha pesa hovyo watu walianza kuona ya kwamba pesa haina thamani tena na [[bei]] zilianza kupanda haraka sana.
 
=== Ulaya ===
Katika [[Ulaya]] pesa ya karatasi ya kwanza iliyotolewa na serikali au kwa niaba ya serikali ilianza kupatikana tangu [[karne ya 16]] katika [[Uholanzi]] na [[Ufaransa]]. Mara kwa mara majaribio hayahayo ya kwanza yalivurugika kutokana na kuchapisha noti nyingi mno na kushuka kwa thamani ya pesa hiihiyo.
 
Noti za benki zilianza kuwa kawaida hata kwa watu wa kawaida wakati wa [[karne ya 19]]. Mwanzoni [[benki kuu]] ya kila nchi kisheria ilipaswa kuwa na akiba ya dhahabu au fedha iliyolingana ama na noti zote au angalau na sehemu kubwa zaozake. Masharti hayahayo yalifutwa polepole kwa sababu ilionekana ya kwamba kama kiasi cha noti haizidihakizidi thamani ya bidhaa nchini uchumi unaendelea bila mvurugo. Tena baada ya kupatikana kwa [[mawasiliano]] ya kisasa kama [[simu]] na [[intaneti]] kiasi kikubwa cha ahadi za kulipana inazunguka katika uchumi na hizihizo ahadi zinafanya kazi kama pesa, hata kama si pesa taslim.
 
== Viungo vya Nje ==
{{wiktionary}}
;Picha za benknoti za dunia
* [http://www.banknoteworld.com/ Ron Wise's Banknote World]
Line 58 ⟶ 57:
* [http://www.oberthur.com/ François-Charles Oberthur]
 
{{wiktionarymbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Pesa]]