Euphrase Kezilahabi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 6 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q601709 (translate me)
→‎Maisha: Added content
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 7:
1967 alijiandiskisha kwenye [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] akasoma ualimu na fasihi hadi digrii ya [[B.A.]] katika mwaka 1970. Mwaka uleule 1970 akawa mwalimu wa shule ya sekondari [[Mzumbe]] ([[Morogoro]]) halafu kwenye shule ya sekondari ya Mkwawa (Iringa).
 
1971 alirudi chuoni Dar es Salaam akawa mhadhiri msaidizi wa chuo alipoandika pia tasinifu ya M.A. kuhusu riwaya za [[Shaaban Robert]], tangu 1974 mhadhiri kamili na 1978 mhadhiri mwandamizi. Akaendelea na masomo ya [[Ph.D.]] huko [[Marekani]] kwenye Chuo Kikuu cha [[Wisconsin]] Madison alipotoa [[tasinifu]] yake mwaka 1985 kuhusu "African Philosophy and the Problem of Literary Interpretation". Sasa (mwaka 2012) ni profesa wa lugha za Kiafrika kwenye Chuo Kikuu cha Botswana. Profesa kezilahabi amefariki tarehe 9/1/2020 kwa mujibu wa mtandao wa masshele Swahili, tutamkumbuka daima
 
==Maandiko==