Wanyiha : Tofauti kati ya masahihisho

6 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wanyiha''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[ [[Tanzania]] ([[Wilaya ya Mbozi]], [[mkoa wa Songwe]]). Katika wilaya ya Mbozi Wanyiha wengi hupatikana [[magharibi]], hasa [[vijiji]] vya [[Itaka]], [[Nambizo]], Mbozi mission, [[Shiwinga]], [[Igamba]] na maeneo mengine ya huko. Pia upande wa [[mashariki]] utawakuta katika vijiji vya [[Nyimbili]], [[Idiwili]] Hezya n.k.
 
Tena wako [[Zambia]], [[Malawi]] na sehemu nyingine. Kwa jumla ni zaidi ya 600,000.
Anonymous user