Kisiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Island.jpg|thumb|250px|Kisiwa kidogo.]]
[[Picha:Ball's Pyramid2.jpg|thumb|250px|Kisiwa kidogo au mwamba tu?]]
'''Kisiwa''' ni eneo la nchi kavu kati ya [[bahari]], [[ziwa]] au [[mto]] linalozungukwa na [[maji]] wakati wote. Ukubwa wake hautoshi kukifanya kiitwe "[[bara]]".