Madagaska : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Si Eritrea...
No edit summary
Mstari 25:

| '''[[Eneo]]'''
- Jumla
- 0.13% Maji
| [[Orotha ya nchi kulingana na eneo|Kadiriwa 45 duniduniani]]
587,040 [[square kilomita|km²]]

| '''[[Umma]]'''
- Kadiriwa ( [[58 duniduniani]] )
- Jumla ([[18,040,341]] )
- Umma kugawa na Eneo [[31]]
| [[Orotha ya Nchi kulingana na Umma|Kadiriwa 126 duniduniani]]
; ([[Orotha ya nchi kulingana na eneo kwa umma|142 duniduniani]])

| '''[[Orotha ya nchi GDP (kidogo)|GDP]] [[Chumo cha uchumi]]'''
- Jumla
- kwa kipimo cha umma

Mstari 43:

| '''[[Wimbo wa Taifa]]'''
| ''' [[Ry Tanindraza nay malala ô]] ''' (Eh, nchi yentuyetu asili) |

| '''[[mtandao wa interneti|Intaneti TLD]]'''
Mstari 55:

[[Picha:Madagascar-carte.png|thumb|right|200px|Madagaska]]
'''Jamhuri ya Madagaska''' inaenea katika ' [[kisiwa]] cha ''Madagaska''' (pia: '''Bukini'''), [[kisiwa]]kilichopo chakatika [[Bahari Hindi]] [[mashariki]] kwa [[pwani]] ya [[Afrika]].

'''Jamhuri ya Madagaska''' inaenea katika '''Madagaska''' (pia: '''Bukini'''), [[kisiwa]] cha [[Bahari Hindi]] [[mashariki]] kwa [[pwani]] ya [[Afrika]].

== Jina ==
[[Jina]] Madagaska lina maana ya "Kisiwa kikubwa" na linatokana na [[lugha]] ya wenyeji, [[Wamalagasi]] ambao waongea [[Kimalagasi]].

== Jiografia ==
Line 65 ⟶ 64:
Kisiwa chenyewe ni [[Orodha ya visiwa duniani|cha nne kwa ukubwa duniani]].

Upekee wa kisiwa unatokana na kwamba kilimeguka kutoka [[India]] miaka [[milioni]] 88 hivi iliyopita, halafu kilibaki bila [[watu]] hadi [[karne ya 5]] hivi [[BK]].

== Ekolojia ==
Kisiwa hicho ni pia [[mazingira]] makubwa ya aina ya [[violezo]] ambayo ni [[asilimia]] 5 ya violezo vyote vya [[mimea]] na [[wanyama]] vya [[dunia]] nzima.

Asilimia 90 ya viumbe[[viumbehai]] asili ni maalumu wa Madagaska, kama vile wanyama aina ya [[kima]] awali wanaoitwa [[lemuri]], [[Ndege (mnyama)|ndege]] ambao wasambukizawaambukiza [[ugonjwa]] na [[mti]] wa [[mbuyu]].

== Historia ==
{{main|Historia ya Madagaska}}
[[Picha:Andrianampoinimerina.jpg|thumb|left|upright|Mfalme [[Andrianampoinimerina]] ([[1787]]-[[1810]]).]]
[[Picha:Merina Kingdom flag.svg|thumb|Bendera ya Ufalme wa Merina.]]
[[Picha:RegnoMadagascar.jpg|thumb|Nembo ya Ufalme wa Merina.]]
Madagaska ni kati ya maeneo ya mwisho kufikiwa na kukaliwa na [[binadamu]].

Line 96 ⟶ 95:

Kisiwa hicho hatimaye kiligeuzwa kuwa [[koloni]] la Ufaransa. Hii ni kwa kuwa, ingawa [[sera ya kuisasisha]] ya [[Bukini]] kwa namna fulani iliimarisha uwezo wa [[nchi]] hiyo wa kutetea [[uhuru]] wake, lakini kwa ujumla sera hiyo ilidhoofisha [[ufalme]] huo kwa kuongeza [[utegemezi]] wake kwa [[mataifa ya kigeni]].

== Siasa ==

== Miundo ==

== Uhusiano na nchi za kigeni ==

== Watu ==
[[File:Madagascar Kids 5 (4814978342).jpg|thumb|Mtoto wa Kimalagasi anayeonyesha kuwa na mchanganyiko wa damu.]]
Mwaka [[20122018]] idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa milioni 2226.3. Wenyeji wengi wana mchanganyiko wa [[damu]]: [[DNA]] inaonyesha kuwa wakazi wa kwanza kutoka Indonesia wameichangia asilimia 50 hivi na Waafrika vilevile. Wanaoishi sehemu za ndani ni wa Kiindonesia zaidi, wakati wale wa pwani ni wa Kiafrika zaidi.

=== Lugha ===
Line 111 ⟶ 104:

=== Dini ===
NchiniMwaka 1993 nchini Madagaska kunakulikuwa na [[dini za jadi]] (52% hivi), [[Ukristo]] (41%, [[Waprotestanti]] wakiwazidi kidogo [[Wakatoliki]]), [[Uislamu]] (7% hivi) n.k. Tangu hapo wafuasi wengi wa dini za jadi wameongokea Ukristo, hasa wa Kiprotestanti.

=== Utamaduni ===