Teresa wa Mtoto Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
better image Basilika Lisieux
Mstari 71:
 
== Heshima baada ya kufa ==
[[Picha:Basilique Sainte-Thérèse de Lisieux-2876.JPGjpg|left|thumb|250px|Basilika la Lisieux, lenye eneo la 4500 m<sup>2</sup> na urefu wa mita 95, lililojengwa kwa heshima yake mwaka [[1937]].]]
Mara baada ya kufa maandishi yake yalianza kusambaa kwa namna ya ajabu na kumvutia [[heshima]] ya wengi. Pia ilitokea [[miujiza]] kwa maombezi yake. Ni kama alivyosema, kuwa atamimina [[mvua]] ya ma[[waridi]] kutoka [[mbinguni]], akitumia [[uzima wa milele] kutenda mema mengi duniani.