Kimalay : Tofauti kati ya masahihisho

68 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (kuondoa kiungo cha ramani using AWB)
No edit summary
'''Kimalay''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Malaysia]], [[Indonesia]] na [[Singapuri]] inayozungumzwa na [[Wamalay]]. Ni [[lugha ya mawasiliano]] kwa wengi, tofauti na [[Kimalay Sanifu]] ambayo ni [[lugha rasmi]] nchini Malaysia.

Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimalay nchini Malaysia imehesabiwailihesabiwa kuwa [[watu]] [[milioni]] [[kumi]] na [[nusu]]. Pia kuna wasemaji milioni 4.91 nchini Indonesia (2000) na wasemaji 414,000 nchini Singapuri (2010).

Kufuatana na [[uainishaji wa lugha]] kwawa ndani zaidi, Kimalay iko katika [[kundi]] la [[Kimalayiki]].
 
==Viungo vya nje==
[[Jamii:Lugha za Indonesia]]
[[Jamii:Lugha za Singapuri]]
[[Jamii:Lugha za Kiaustronesia]]