Njombe (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
Mstari 31:
 
==Usafiri==
Barabara ya lami kutoka [[Makambako]] kwenda [[Songea]] inapita mjini. <ref>{{cite web|title=Njombe Roads Network|url=http://tanroads.go.tz/uploads/documents/en/1446621691-Njombe.pdf|website=Tanroads|accessdate=14 February 2016}}</ref> Kituo cha karibu cha treni za [[TAZARA]] kipo [[Makambako]]. Pia kuna [[uwanja wa ndege]] eneo la ChaungingiChaugingi. Hakuna huduma ya [[ndege za abiria]].
 
 
==Dini==
Njombe ni makao makuu ya [[Dayosisi ya Kusini KKKT]] ya [[Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania]] na pia ya [[Jimbo Katoliki la Njombe]] ya [[Kanisa Katoliki Tanzania]]. Kuna pia makanisa mengine na msikitimisikiti.
 
Eneo la Yakobi katika mji wa Njombe linatunza jina la kituo cha Wamisionari Waluteri Wajerumani waliofika hapa mnamo mwaka 1899. Wakati wa [[Vita ya Majimaji]] kituo cha Yakobi kilishambuliwa na kikosi kilichoongozwa na chifu Mbeyela.<ref>[https://books.google.com/books?id=OjjKNNeu6cwC&pg=PA241&dq=njombe&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwiFo_n6-K7JAhVBJw8KHazRCsYQuwUIXDAH#v=onepage&q=njombe&f=false Seth I Nyagava, "Were the Bena traitors? Majimaji in Njombe..", mlango wa 7 katika "Maji Maji: Lifting the Fog of War", James Leonard Giblin, Jamie Monson BRILL, 2010; hapa uk. 247]</ref>